Yaya Touré

Mchezaji wa soka wa Ivory Coast

Gnégnéri Yaya Touré (amezaliwa 13 Mei 1983) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Cote d'Ivoire. Anachezea kilabu cha FC Barcelona nchini Hispania.

Yaya Touré
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yaya Touré kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.