Yevgeniya Sergeyevna Chirikova

Mwanaharakati wa mazingira wa Urusi

Yevgeniya Sergeyevna Chirikova (alizaliwa Moscow, 12 Novemba 1976) ni mwanaharakati wa mazingira nchini Urusi, alijulikana sana kwa kupinga ujenzi wa barabara kuu kupitia Msitu wa Khimki karibu na Moscow.[1] mwaka 2011-2013 alikuwa na jukumu kubwa katika maandamano ya Urusi kufuatia uchaguzi wa bunge aliokuwa na utata. Chirikova "alichochea shauku ya kitaifa katika mageuzi ya kisiasa".[2] Kwa sasa anaishi nchini Estonia.[3]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yevgeniya Sergeyevna Chirikova kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.