Yevhen Konoplyanka
Yevhen Olehovych Konoplyanka {amezaliwa 29 Septemba 1989) ni mchezaji wa soka wa Ukraina ambaye anacheza kama mshambuliaji wa pembeni katika klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ukraine.
Kazi ya klabu
haririSchalke 04
haririTarehe 30 Agosti 2016 Konoplyanka alisajiliwa kwa mkopo katika klabu ya Schalke 04 kwa kiasi cha € 12.5 milioni.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yevhen Konoplyanka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |