Yogi (wakati mwingine huitwa jogi) ni mtu anayefanya mazoezi ya yoga.

Sanamu ya Yogini ya karne ya 10 kutoka Tamil Nadu, India. Ameketi katika asana, na macho yake yamefungwa katika hali ya kutafakari.
Sanamu ya shaba ya yogi akiwa anatafakari.

Katika lugha ya Kisanskrit, neno yoga (kutokana na mizizi yuj) linamaanisha "kuongeza", "kuunga", "kujumuisha" kwa maana yake halisi ya kawaida.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yogi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.