Yohane wa Chinon
Yohane wa Chinon alikuwa padri kutoka Bretagne ambaye, kwa kumpenda Mungu aliamua kufichama kwa watu akaishi kama mkaapweke kwa kusali tu katika chumba kidogo kilichojengwa mbele ya kanisa la kijiji cha Chinon, karibu na Tours, leo nchini Ufaransa katika karne ya 6.[1].
Habari zake ziliandikwa na Gregori wa Tours.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Gregori wa Tours, Liber in gloria confessorum 23 (= MGH SS rer. Merov., I.2, pp.
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |