Yohane wa Reom (Courtangy, Ufaransa, 440 hivi - Reom, Ufaransa, 28 Januari 544/554) alikuwa padri aliyeanzisha monasteri huko Reom, Neustria, chini ya kanuni ya Pakomi[1].

Kabla ya hapo aliwahi kuishi kama mkaapweke halafu kujiunga na monasteri ya Lerins.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 28 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.