Yothamu wa Yuda
Yothamu (kwa Kiebrania: יוֹתָם, Yōtam, Yōṯam, "Mungu ni mwadilifu"; kwa Kigiriki: Ιωαθαμ, Ioatham; kwa Kilatini: Joatham)[1] alikuwa mfalme wa Yuda kwa miaka 16, akimrithi baba yake Uzia wa Yuda (2 Fal 15:33 na 2 Nya 27:1) hadi alipoondolewa madarakani na wapinzani na hatimaye kurithiwa na mwanae Ahazi.
Wakati wake walifanya kazi manabii Amosi, Isaya na Mika.
Injili ya Mathayo inamtaja katika orodha ya vizazi vya Yesu.
Tanbihi
hariri- ↑ "2 Kings 15:32". Bible Hub. Online Parallel Bible Project. Iliwekwa mnamo 13 Desemba 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo
hariri- Thiele, Edwin R. (1965). The Mysterious Numbers of the Hebrew Kings (tol. la 2nd). Grand Rapids, MI: Eerdmans.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Mitchell, T. C. (1992). "Chapter 29 - Israel and Judah from the coming of Assyrian domination until the fall of Samaria, and the struggle for independence in Judah (c. 750–700 B.C.)". Katika Boardman, John; Edwards, I. E. S.; Sollberger, E.; na wenz. (whr.). Cambridge Ancient History 3, Part 2. Cambridge: Cambridge Univ. Press. ISBN 978-0521227179.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help)
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yothamu wa Yuda kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |