Yusto wa Aleksandria (mfiadini)
Yusto wa Aleksandria (alifia dini 250 hivi) alikuwa Mkristo wa mji huo (nchini Misri) ambaye aliuawa kikatili wakati wa dhuluma ya kaisari Decius. Inasemekana alikatwa kichwa.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |