Zena Isabel Daysh CNZM
Zena Isabel Daysh CNZM (30 Aprili 1914 – 23 Machi 2011) alikuwa mwananchi wa New Zealand ambaye alikuwa na ushawishi mkubwa katika harakati za ekolojia ya binadamu na mwanzilishi wa Baraza la Jumuiya ya Madola ya Ikolojia ya Binadamu mnamo mwaka 1969.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "The passengers". Hawera and Normanby Star. Juz. la XLI. 12 Novemba 1920. uk. 5. Iliwekwa mnamo 4 Aprili 2020.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zena Isabel Daysh CNZM kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |