Zoezi (kutoka kitenzi "kuzoea") ni tendo linalorudiwarudiwa ili kupata ufanisi mkubwa zaidi na zaidi katika kulifanya.

Mtu akiwa anafanya mazoezi kwenye mashine ya kukimbia.

Kama linahusu mwili linalenga mara nyingi kuimarisha viungo vyake ili kuboresha afya, kukuza uwezo wake au kushinda tatizo lililotokana na ajali au tukio lingine.

Zoezi ni pia jina la jaribio linalofanywa ili kupima ujuzi wa mtu katika jambo fulani na kumuandaa kufanya vizuri zaidi mtihani wa siku za mbele.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zoezi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.