Zota mfiadini
Zota mfiadini (pia: Ioatha) ni Mkristo ambaye alifia dini katika Pentapoli ya Kurene (leo nchini Libya) wakati wa dhuluma ya kaisari Maximian (285-305).
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |