Zugspitze ni mlima wa Alpi katika nchi za Ujerumani na Austria (Ulaya).

Mlima Zugspitze

Urefu wake ni mita 2,962 juu ya usawa wa bahari, hivyo ni mrefu kuliko milima yote ya Ujerumani.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zugspitze kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.