Abdallah Ally Mtolea

Abdallah Ally Mtolea (amezaliwa 3 Juni 1976 [1]) ni mwanasiasa Mtanzania. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Temeke kwa miaka 20152020 akiwa mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. [2] [3]

Tarehe 15 Novemba 2018 amejiuzulu nafasi yake ya Ubunge pamoja na nafasi zote za uongozi katika chama cha CUF.

Marejeo hariri

  1. https://www.bunge.go.tz/index.php/administrations/16
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  3. https://peoplepill.com/people/abdallah-mtolea/