Mti-kivuli
(Elekezwa kutoka Acrocarpus fraxinifolius)
Mti-kivuli (Acrocarpus fraxinifolius) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Miti-kivuli
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mti-kivuli (Acrocarpus fraxinifolius) ni mti mkubwa wa familia Fabaceae. Umepata jina lake kwa sababu hupandwa kama mti wa kivuli kwa mashamba ya mibuni, huko Asia hasa. Asili yake ni Asia ya Kusini na ya Mashariki, lakini siku hizi hupandwa pia katika kanda za tropiki za Afrika na Amerika.
Picha
hariri-
Majani
-
Maua
-
Kishada cha maua
-
Matumba mtini
-
Tumba na mbegu ndani yake
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mti-kivuli kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |