Adama Traoré II
Adamu Traoré (alizaliwa 28 Juni 1995) ni mchezaji wa soka wa Mali ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligue 1 FC Metz nchini Ufaransa na timu ya taifa ya Mali. Kwa sasa yupo kwa mkopo katika klabu ya Monaco .
Adama Traoré
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Mali |
Jina halisi | Adama |
Tarehe ya kuzaliwa | 28 Juni 1995 |
Mahali alipozaliwa | Bamako |
Ndugu | Hamari Traoré |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kifaransa |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo |
Muda wa kazi | 2014 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 23 |
Ameshiriki | 2017 Africa Cup of Nations, 2019 Africa Cup of Nations |
Mafanikio
haririBaada ya kushinda Mpira wa Dhahabu kama mchezaji bora kwenye Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 20 , alicheza kwa mara ya kwanza katika kuiwakilisha timu ya taifa ya Mali kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika mnamo 2017 na 2019.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adama Traoré II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |