Adjoa Bayor

ni mchezaji wa mpira wa zamani wa nchini Ghana .

Adjoa Bayor (alizaliwa 17 Mei 1979) ni mwanasoka wa zamani wa nchini Ghana ambaye alicheza kama kiungo. Amewahi kuwa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Ghana. [1] [2]

Adjoa Bayor
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaGhana Hariri
Jina halisiAdwoa Hariri
Jina la familiaBayor Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa17 Mei 1979 Hariri
Mahali alipozaliwaAccra Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuKiungo Hariri
AlisomaRobert Morris University Illinois Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoF.C. Indiana, FF USV Jena, F.C. Indiana, Ghana women's national football team, Rochester New York FC Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji10 Hariri
Ameshiriki2007 FIFA Women's World Cup Hariri

Kazi hariri

Bayor alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya kandanda ya wanawake wa Ghana katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 1999 nchini Marekani.

Alikuwa mshiriki wa timu ya World All Stars iliyocheza dhidi ya timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya China mwezi Aprili 2007 huko Wuhan, Uchina . [3]

Amewahi kuichezea klabu ya Ghatel Ladies huko Accra, Ghana na pia ameichezea klabu ya FC Indiana ya Marekani. [3] Bayor alijiunga mnamo 21 Januari 2009 na timu ya FF USV Jena. [4]

Marejeo hariri

  1. Abedu-Kennedy (2018-11-15). I broke my virginity at age 32 - Adjoa Bayor (en-US). AdomOnline.com. Iliwekwa mnamo 2019-02-23.
  2. Tony Baffoe challenges Adjoa Bayor to get involved in developing women's football (en-US). Citi Newsroom (2018-11-28). Iliwekwa mnamo 2019-02-23.
  3. 3.0 3.1 FIFA Recognizes F.C. Indiana Star. Women's Professional Soccer League. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-11-08. Iliwekwa mnamo 2007-09-20.
  4. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-02. Iliwekwa mnamo 2009-01-22.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adjoa Bayor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.