Aflahos na wenzake
Aflahos na wenzake walikuwa Wakristo waliofia dini yao huko Aleksandria.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Septemba.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri- http://www.stmichaeleoc.org/Synaxarium/Meskerem_12.htm Ilihifadhiwa 16 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |