Agapio wa Kaisarea

Agapio wa Kaisarea (alifariki Kaisarea Baharini, leo nchini Israeli, 306) alikuwa Mkristo ambaye baada ya kufungwa na kuteswa miaka miwili, alitupwa katika uwanja wa michezo aliwe na dubu mbele ya kaisari Masimino kwa sababu ya imani yake na kesho yake alitupwa baharini akiwa amefungiwa mawe miguuni kwa kuwa alikuwa hajafa[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 21 Novemba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.