Agripini wa Napoli
Agripini wa Napoli (pia: Arpino; karne ya 2 - 233) anatajwa kama askofu wa sita wa mji huo wa Italia Kusini.
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[1].
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
- ↑ Agrippinus of Naples B (RM) (also known as Arpinus). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-02-06. Iliwekwa mnamo 2020-11-08.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya njeEdit
- Saints of November 9: Agrippinus of Naples
- (Kiitalia) Sant' Agrippino di Napoli
- Saints.SQPN: Agrippinus of Naples
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |