Jimbo la Bauchi

Jimbo nchini Nigeria
(Elekezwa kutoka Bauchi (jimbo))

Jimbo la Bauchi ni jimbo lililopo kaskazini mwa nchi ya Nigeria.

Bauchi, Nigeria
Mahali pa Bauchi katika Nigeria

Mji mkuu wake ni Bauchi, wenye wakazi 6,537,300 (2016).

Jimbo lilianzishwa mnamo 1976 wakati Jimbo la zamani la mjini Kaskazini-Mashariki lilipovunjika. Awali ilijumlisha na eneo la sasa la Jimbo la Gombe, ambalo limepata kuwa jimbo tafauti mnamo mwaka wa 1996. Jimbo lina idadi ya wakazi wapatao 4,706,909 (sensa 2005) wanaoishi jimboni hapa.

Chuo Kikuu cha Abubakar Tafawa Balewa kipo katika mji mkuu wa Bauchi.

Marejeo hariri


 
Majimbo ya Nigeria
 
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara
  Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Bauchi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.