Jimbo Abia Nigeria.jpg
Abia

Abia ni jimbo la kujitawala la Nigeria lenye wakazi milioni 4.2 (2005) na eneo la 5,834 km². Mji mkuu ni Umuahia na mji mkubwa Aba mwenye wakazi 900,000.

EneoEdit

Abia imepakana na majimbo ya Enugu, Ebonyi, Cross River, Akwa Ibom, Rivers, Imo na Anambra. Haina pwani. Mito muhimu ni mto Imo na mto Aba inayoelekea kwenye delta ya mto Niger.

Kusini ya jimbo ni tambarare ya chini yenye mvua nyingi. Maeneo ya kaskazini ni juu kidogo.

UchumiEdit

Uchmi umetegemea hasa kilimo. Nafaka, minazi, mahindi, mpunga, muhogo, matunda na miboga hulimwa.

Kuna pia madini yanayochimbwa ni hasa zinki, mchanga, chokaa pia kiasi cha mafuta ya petroli. Abia hukorogwa bia kuna viwanda vya nguo na kioo.

WakaziEdit

Watu wa Abia ni hasa wa kabila la Igbo.

  Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Abia (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. 
Majimbo ya Nigeria
 
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara