Alama dola au $ (kwa Kiingereza: "dollar sign" au "peso sign") ni alama inayotumika ili kuonyesha vitengo vya fedha nyingi.

Alama dola ya msingi.

Alama dola hutumika katika lugha za programu pia. Msimbo Unicode wa alama dola ni U+0024. Alama dola hutumika katika lugha za programu kama JavaScript, PHP au Python.

Marejeo Edit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).