PHP
lugha ya programu ya kompyuta
PHP ni lugha ya programu. Iliundwa na Rasmus Lerdorf na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1994. Iliundwa ili kuumba tovuti kama Facebook au Wikipedia. Leo tunatumia PHP 8.0.0. Ilivutwa na C.
PHP | |
---|---|
Shina la studio | namna : namna ya utaratibu
inaozingatiwa kuhusu kipengee namna nyingi |
Imeanzishwa | Januari 1 1994 |
Mwanzilishi | Rasmus Lerdorf |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: Perl, C, C++, Java, Tcl, JavaScript, Hack
Ilivuta: Hack |
Mahala | The PHP Development Team, Zend Technologies |
Tovuti | https://www.php.net |
Inaitwa PHP, kifupi cha maneno "Hypertext Preprocessor"
Historia
haririIlianzishwa 1 Januari 1994 nchini Marekani, lakini Rasmus Lerdorf alianza kufanya kazi kuhusu PHP mwaka wa 1993.
Falsafa
haririNamna ya PHP ni namna ya utaratibu, namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.
Sintaksia
haririSintaksia ya PHP ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya C++, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya PHP
haririProgramu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
<title>PHP programu "Jambo ulimwengu !"</title>
</head>
<body>
<?php echo '<p>Jambo ulimwengu !</p>'; ?>
</body>
</html>
Programu kwa kupata factoria ya namba moja.
<html>
<head>
<title>Programu kwa kupata factoria</title>
</head>
<body>
<form method="post">
Ingia namba:<br>
<input type="number" name="number" id="number">
<input type="submit" name="submit" value="Submit" />
</form>
<?php
if($_POST){
$fact = 1;
//getting value from input text box 'number'
$number = $_POST['number'];
echo "Factoria ya $number:<br><br>";
//start loop
for ($i = 1; $i <= $number; $i++){
$fact = $fact * $i;
}
echo $fact . "<br>";
}
?>
</body>
</html>
Marejeo
hariri- Luke Welling, Laura Thomson, PHP and MySQL Web development, Sams Publishing, 2008, 4e éd. (ISBN 0-672-32916-6, OCLC 854795897)
- Damien Seguy, Philippe Gamache, Sécurité PHP 5 et MySQL, 3e édition, Eyrolles, 1er décembre 2011, 277 p. (ISBN 2-212-13339-1)
- Jean Engels PHP 5 Cours et Exercices, 3e édition, Eyrolles 2013, 631 pages (ISBN 978-2-212-13725-5)