Alasho
Alasho ni kilemba kirefu asili ya Kihausa, kinachovaliwa kichwani na shingoni. Kinakaribia kufanana kwa urefu, rangi na vipimo na kile cha Tuareg tagelmust, [1] lakini kimefungwa tofauti kwa mbinu ya Tuareg, na kuacha pande za kichwa na baadhi sehemu ya shingo ya chini. Kilemba cha mtindo sawa huu huvaliwa na wanaume wa Songhai, wanaojulikana kama 'fatalaa' kwa lugha ya Zarma[2][3] .
Ni moja kati ya Vazi la Mwanaume lililopendwa na Jamii ya Hausa, Kwa leo linaonesha uhai kipindi cha hafla muhimu au sherehe, ibada ya kifungu cha matambiko ya umri wa mtu mzima, ndoa au kwenye uzinduzi wa kiongozi wa kisiasa. Kitambaa cha Alasho asili yake kimetengenezwa ndani ya Kano, na kiliuzwa kwa wateja na wanaofanya biashara wa Tuareg na Songhay.
Marejeo
hariri- ↑ Andre Bourgeot, Les Sociétés Touarègues, Nomadisme, Identité, Résistances, Paris: Karthala, 1995.
- ↑ The Tuareg or Kel Tamasheq: The People Who Speak Tamasheq and a History of the Sahara. Henrietta Butler , Justin Marozzi, 2016, 208 pag. ISBN 1906509301, ISBN 978-1906509309
- ↑ Tal Tamari (1998), Les castes de l'Afrique occidentale: Artisans et musiciens endogames, Nanterre: Société d’ethnologie, ISBN 978-2901161509
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |