Alderiko wa Le Mans

Alderiko wa Le Mans (800 hivi - 7 Januari 856) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, ambaye kwa ari ya ajabu alistawisha ibada kwa Mungu na heshima kwa watakatifu[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

VyanzoEdit

  • Actus Pontificum Cenomannis (in urbe degentium), compiled during Aldric's episcopate.
    • ed. Margarete Weidemann, Geschichte des Bistums Le Mans von der Spätantike bis zur Karolingerzeit: Actus Pontificum Cenomannis in urbe degentium und Gesta Aldrici. 3 vols. Mainz, 2000.
  • Gesta (Domni) Aldrici, which relates how Aldric translated the bodies of the saints and former bishops of Le Mans: Julianus, Turibius, Pavatius, Romanus, Liborius and Hadoindus to his cathedral.
    • ed. Margarete Weidemann, Geschichte des Bistums Le Mans von der Spätantike bis zur Karolingerzeit: Actus Pontificum Cenomannis in urbe degentium und Gesta Aldrici. 3 vols. Mainz, 2000.

Marejeo mengineEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.