Alejandro Gómez
Mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina
Alejandro Darío Gómez (alizaliwa tarehe 15 Februari mwaka 1988) ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza kama mchezaji wa mbele/winga au nafasi ya kiungo wa kushambulia wa klabu ya Italia iitwayo Atalanta na timu ya taifa ya Argentina.
Alejandro Gómez
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Argentina |
Nchi anayoitumikia | Argentina |
Jina katika lugha mama | Papu Gómez |
Jina la kuzaliwa | Alejandro Darío Gómez |
Jina halisi | Papu |
Jina la familia | Gómez |
Tarehe ya kuzaliwa | 15 Februari 1988 |
Mahali alipozaliwa | Buenos Aires |
Relative | Hugo Villaverde |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kihispania |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Muda wa kazi | 2005 |
Work period (end) | 2023 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 10 |
Gómez ni raia wa Argentina na Italia, baada ya kupata uraia wa Italia mnamo tarehe 14 Mei mwaka 2016, kwa sababu mkewe ni raia wa Italia.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alejandro Gómez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |