Aleksanda wa Sisili

Aleksanda wa Sisili, O. de M. (alifia dini Tunisi, 1317) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Sicilia, Italia ambaye alikwenda Tunisia kukomboa watumwa akachomwa moto kwa ajili ya imani yake.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Aprili.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.