Alessia Russo

Mchezaji mpira wa miguu wa Uingereza (aliyezaliwa 1999)

Alessia Mia Teresa Russo (alizaliwa 8 Februari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza anacheza kama mshambuliaji Katika klabu ya Arsenal ya Ligi ya Wanawake(WSL) na timu ya taifa ya Uingereza.

Russo akiwa na Manchester United mnamo 2023

Hapo awali alicheza mpira wa miguu katika vilabu tofauti ikiwemo Chelsea, Brighton & Hove Albion na Manchester United, na vile vile timu ya chuo akiwa chuo kikuu cha North Carolina Tar Heels. Akiwa Manchester United, Russo alishinda tuzo zikiwemo Mchezaji bora wa mwaka na goli bora la msimu,[2][3] na alikuwa mfungaji bora mara mbili. Pia alitunukiwa Mchezaji Bora wa Mwezi na Bao la Mwezi katika WSL.[4]

Marejeo

hariri
  1. "Alessia Russo - Women's Soccer". University of North Carolina Athletics. Iliwekwa mnamo 2023-05-18.
  2. https://goheels.com/sports/womens-soccer/roster/alessia-russo/16159
  3. "How Man Utd star Alessia Russo could have joined rivals Arsenal instead | Goal.com US". web.archive.org. 2022-09-29. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-29. Iliwekwa mnamo 2024-04-13. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)
  4. "Manchester United forward requires surgery on hamstring injury". WSL Full-Time (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2020-11-08. Iliwekwa mnamo 2024-04-13.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alessia Russo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.