Alex McCarthy

Alex McCarthy (alizaliwa 3 Desemba 1989) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Ligi Kuu Uingereza ya Southampton na timu ya taifa ya Uingereza.

Huyu ni Alex McCarthy

Kazi ya klabuEdit

Queens Park Ranger(QPR)Edit

Mnamo 29 Agosti 2014, McCarthy alijiunga na klabu ya Queens Park Racks iliyokuwa Ligi Kuu ya Uingereza kwa ada isiyojulikana.McCarthy alicheza kwa mara yake ya kwanza katika mchezo dhidi ya Liverpool kwa ushindi mwembama ambapo walishindea 3-2.

Crystal PalaceEdit

Tarehe 23 Julai, 2015, McCarthy alijiunga na klabu ya Crystal Palace ya Ligi Kuu ya Uingereza kwa ada isiyojulikana kamili, iliyoripotiwa kuwa ni pauni milioni 3.5, kwa mkataba wa miaka nne.McCarthy aliicheza kwa mara ya kwanza tarehe 8 Agosti 2015 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya klabu ya Norwich City.

SouthamptonEdit

Mnamo 1 Agosti 2016, alijiunga na klabu ya Southampton kwa mkataba wa miaka tatu(3), kwa ada isiyojulikana. 27 Juni 2018, McCarthy alisaini mkataba mpya wa miaka minne na klabu hadi mwaka 2020, na kumfanya kuwa mmoja wa wachezaji ambao wanalipwa kipato cha juu.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex McCarthy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.