Alfege wa Winchester

Alfege wa Winchester (jina lake hasa lilikuwa “Aelfheah”; alifariki 12 Machi 951) alikuwa mmonaki halafu askofu wa mji huo, Uingereza kuanzia mwaka 934 au 935[1].

Alijitahidi sana kurekebisha maisha ya kiroho katika monasteri za huko.

Tangu kale anahesimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake ni tarehe 12 Machi[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Fryde, et al. Handbook of British Chronology p. 223
  2. Walsh A New Dictionary of Saints p. 28
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Fryde, E. B.; Greenway, D. E.; Porter, S.; Roy, I. (1996). Handbook of British Chronology (tol. la Third revised). Cambridge: Cambridge University Press. ISBN 0-521-56350-X.
  • Walsh, Michael A New Dictionary of Saints: East and West London: Burns & Oates 2007 ISBN|0-86012-438-X

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.