Alfeo, Aleksanda na Zosimo

Alfeo, Aleksanda na Zosimo (walifariki Chiliadu katika Pisidia, leo nchini Uturuki, 300 hivi) walikuwa ndugu Wakristo ambao waliuawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 28 Septemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.