Alfred Junior Gomis (alizaliwa Ziguinchor, nchini Senegal, 5 Septemba 1993) ni mchezaji wa soka wa Senegal ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya SPAL na timu ya taifa ya soka ya Senegal.

Alfred Gomis
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaItalia, Senegal Hariri
Nchi anayoitumikiaSenegal Hariri
Jina halisiAlfred Hariri
Jina la familiaGomis Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa5 Septemba 1993 Hariri
Mahali alipozaliwaZiguinchor Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKifaransa Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timugoalkeeper Hariri
Muda wa kazi2010 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
AmeshirikiKombe la Dunia la FIFA 2018 Hariri

Maisha hariri

Alihamia na familia yake Cuneo, Italia hivi karibuni. Yeye ana uraia wa sehemu mbili, Italia na Senegal.

Ana ndugu wawili ambao pia ni wavulana: Lys na Maurice.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Gomis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.