Alfred Leonhard Maluma

Alfred Leonhard Maluma (amezaliwa 12 Desemba 1955) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka wa 2002. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Njombe.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Leonhard Maluma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.