Jimbo Katoliki la Njombe
Jimbo Katoliki la Njombe (kwa Kilatini "Dioecesis Niombena") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.
Kwa sasa jimbo halina Askofu kutokana na kifo cha Alfred Leonhard Maluma tarehe 6 Aprili 2021.
HistoriaEdit
UongoziEdit
- Maaskofu wa Njombe
- Alfred Leonhard Maluma (2002 - 2021)
- Raymond Mwanyika (1971 – 2002)
TakwimuEdit
Eneo ni la kilometa mraba 20,860, ambapo kati ya wakazi 717,000 (2006) Wakatoliki ni 294,100 (41.0%).
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Njombe kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |