Ali Hassan Kuban

Mwanamuziki wa Misri

Ali Hassan Kuban (1929 - 2001 [1] ) alikuwa mwimbaji wa Nubia na kiongozi katika bendi. Alijulikana kama "Kapteni" au "Godfather" wa muziki wa Nubia.

Ali Hassan Kuban alizaliwa huko Gorta, nchini Misri, katika kijiji cha Wanubi karibu na Aswan . [2] Baada ya familia yake kuhamia Cairo, alijifunza kucheza clarinet, na mwaka 1949 aliimba katika Opera ya Cairo. [2] Pia alicheza girba ( bagpipes ) na bendi yake mwenyewe wakati wa sherehe za harusi. Wakati wa miaka ya 1950, Ali alianza kuongeza ala za Magharibi kama vile saxophone, gitaa la umeme, gitaa la besi, ogani, tarumbeta na accordion kwenye kundi lake. [1] Kufikia miaka ya 1990, alikuwa akiigiza hadhira wa kimataifa katika hafla kama vile Midem (1993), WOMAD (1994), Tamasha la Montreal Jazz (1994), na Central Park SummerStage (1995).

Orodha ya kazi za muziki hariri

Albamu

  • From Nubia to Cairo (1980), Shanachie – reissued 2001, Piranha[3]
  • Walk Like a Nubian (1991), Piranha [4]
  • Nubian Magic (1995), Mercator - ilitolewa tena 1999, Blue Flame [4]
  • Real Nubian: Cairo Wedding Classics (2001), Piranhaa [4]
  • The Rough Guide to Ali Hassan Kuban (2002), World Music Network – compilatioo [4]


Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Ali Hassan Kuban". Afropop Worldwide. World Music Productions. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 July 2007. Iliwekwa mnamo 23 July 2007.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 Riedel, Martin & F. Hetze (2001). Album notes for From Nubia to Cairo by Ali Hassan Kuban [CD booklet]. Berlin: Piranha Musik (pir24).
  3. Discography katika Allmusic
  4. 4.0 4.1 4.2 4.3 Discography katika Allmusic
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ali Hassan Kuban kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.