Alice Constance Austin

Mbunifu majengo wa Marekani na mpangaji wa miji

Alice Constance Austin (alizaliwa na Joseph B. na Sarah L. Austin mwaka 1862 huko Chicago, Illinois.[1]) alikuwa mwanaharakati, msanifu majengo, na mbunifu.[2]

Pendekezo lake maarufu huko Llano del Rio, ingawa halijatekelezwa kikamilifu, liliathiri sana miundo ya baadaye ya jiji na mpango wa usanifu. Mnamo mwaka1935, Austin alichapisha kitabu chake kilichoitwa The Next Step kilichoelezea jinsi ya kupanga urembo, faraja na amani yenye kupunguza maumivu, na mambo yasiyo na maana.,[3] kujadili, matatizo na mradi wa Llano del Rio, na baadhi ya mawazo yake mengine kuhusu kupanga. Juhudi zake za utetezi wa haki za wanawake katika historia ya mipango miji zilifikia hatua ya kuathiri maendeleo ya masuala ya kisasa kama vile kipato cha chini, usalama wa kijamii, gharama ya makazi, na huduma ya afya.[4]

Marejeo

hariri
  1. US Census
  2. "The Feminist Architect Who Tried to Liberate Kitchens From Houses", Atlas Obscura, 12 September 2016. (en) 
  3. Hayden, Dolores (1978). "Two Utopian Feminists and Their Campaigns for Kitchenless Houses". Signs. 4 (2): 274–290. doi:10.1086/493607. JSTOR 3173026.
  4. "American Utopia: A Brief History of Llano del Rio Cooperative Colony". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-09. Iliwekwa mnamo 2008-04-30. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alice Constance Austin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.