Alonio (aliishi katika karne ya 4 na ya 5) alikuwa mmonaki katika jangwa la Misri.

Baadhi ya semi zake zimeripotiwa katika Apophthegmata Patrum (Misemo ya Mababa wa Jangwani)[1].

Misemo hiyo ilikusanywa taratibu ili kudumisha hekima yao nyofu.[2]

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 4 Juni[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Harmless, William (2000). "Remembering Poemen Remembering: The Desert Fathers and the Spirituality of Memory". Church History (American Society of Church History) 15. Archived from the original on 2013-05-18.  Unknown parameter |= ignored (help)
  2. Kuna pia tafsiri ya Kiswahili: Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000ISBN 0-264-66350-0.
  3. https://catholicsaints.info/saint-alonio/
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.