Amad Diallo

Amad Diallo (alizaliwa 11 Julai, 2002) ni mtaalamu wa Ivory Coast na Mwanasoka ambaye anaecheza kama Winger (chama cha soka)|winga]] katika klabu ya manchester na kiungo bora wa timu ya taifa ya Ivory coast. Alijiunga na mfumo wa vijana wa Atalanta mnamo 2015, ambapo alishinda mataji mawili Campionato Primavera 1. Mnamo 2019 alikua mchezaji wa kwanza kufunga [Serie A], kwenye mechi yake ya kwanza ya kitaaluma kwa timu ya wakubwa. Mnamo Januari 2021, Diallo alijiunga na klabu ya Uingereza ya Manchester United, kabla ya kutumwa kwa mkopo kwa [Rangers] mwaka mmoja baadaye. Diallo alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa huko Ivory Coast katika michuano ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika ya 2021.

Maisha ya BinafsiEdit

Diallo ni Muislamu.[1][2] Alipokea pasipoti ya Italia. mwishoni mwa Desemba 2020.[3]

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amad Diallo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

}}