Amoni wa Pentapoli

Amoni wa Pentapoli (alifariki 310 hivi) alikuwa shemasi wa Pentapoli (katika Libya ya leo) aliyeuawa kwa ajili ya imani yake pamoja na Theodoro, Irenei na Serapioni.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Aprili lakini pia 26 Machi[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amoni wa Pentapoli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.