Theodoro wa Pentapoli

Theodoro wa Pentapoli (alifariki 310 hivi) alikuwa shemasi wa Pentapoli (katika Libya ya leo) aliyeteswa kwa ajili ya imani yake pamoja na Irenei, Serapioni na Amoni.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Aprili lakini pia 26 Machi[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theodoro wa Pentapoli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.