Amy Frederica Brenneman (alizaliwa Juni 22, 1964) ni mwigizaji na mtayarishaji wa filamu wa nchini Marekani.

Brenneman mnamo mwaka 2009

Anajulikana zaidi kwa kazi yake ya kwenye ya runinga, alikuja kujulikana kama detective anice Licalsi katika safu ya maigizo ya polisi ya ABC NYPD Blue (1993 - 1994). Kufuatia hili, Brenneman alishirikiana kuunda na kuigiza kama jaji. Gray katika mfululizo wa tamthilia ya CBS Judging Amy (1999 - 2005). Alipokea jumla ya uteuzi mara tano wa tuzo ya Emmy Award kwa majukumu haya.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amy Brenneman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.