22 Juni
tarehe
(Elekezwa kutoka Juni 22)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 22 Juni ni siku ya 173 ya mwaka (ya 174 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 192.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1887 - Julian Huxley, mwanabiolojia, na mkurugenzi wa kwanza wa UNESCO
- 1939 - Ada Yonath, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2009
- 1965 - Uwe Boll, mtayarishaji wa filamu kutoka Ujerumani
Waliofariki
hariri- 431 - Mtakatifu Paulino wa Nola
- 1276 - Mwenye heri Papa Inosenti V
- 1535 - Mtakatifu John Fisher, askofu Mkatoliki na mfiadini kutoka Uingereza
- 1962 - Shaaban Robert, mshairi wa Tanzania
- 1990 - Ilya Frank, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Paulino wa Nola, Yohane Fisher, Thomas More, Flavi Klementi, Albano wa Uingereza, Julius na Aroni, Eusebi wa Samosata, Niseta wa Remesiana n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 22 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |