Ana (mama wa Samweli)

Ana (kwa Kiebrania חַנָּה Ḥannāh[1]) alikuwa mke wa Elkana na hatimaye mama wa Samweli na watoto wengine katika karne ya 11 KK kadiri inavyosimuliwa na Vitabu vya Samueli (1Sam 1:2-2:21) katika Biblia.

Gerbrand van den Eeckhout - Ana akimkabidhi mwanae Samweli kwa kuhani Eli, mchoro wa mwaka 1665 hivi.

Tazama pia Edit

Tanbihi Edit

  1. Wells, John C. (1990). Longman pronunciation dictionary. Harlow, England: Longman, 324. ISBN 0-582-05383-8.  entry "Hannah"

Viungo vya nje Edit

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ana (mama wa Samweli) kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.