Anastasi wa Schemaris
Anastasi wa Schemaris (alifariki Schemaris, Lazica, leo nchini Georgia, mwaka 666) alikuwa mmonaki wa Maksimo Muungamadini na mshiriki wa mateso yake kwa ajili ya imani sahihi[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |