Andrea Bobola, S.J. (Sandomir Palatine, Polandi, 1591Janów, leo nchini Belarus, 16 Mei 1657) alikuwa padri mmisionari na hatimaye mfiadini wa Shirika la Yesu, anayejulikana kama "mtume wa Lithuania" na "mwindaji wa roho" kwa sababu alijitosa kurudisha umoja kamili kati ya Wakristo.[1]

Mt. Andrea Bobola.

Hatimaye alikamatwa na askari, akateswa na kuuawa katika uasi wa Khmelnytsky[2][3].

Alitangazwa kuwa mwenye heri na Papa Pius IX tarehe 30 Oktoba 1853, halafu mtakatifu na Papa Pius XI tarehe 17 Aprili 1938.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Merrick, David Andrew (1891). Saints of the Society of Jesus: With a sketch of the Society. William H. Sadlier. uk. 16.
  2. Daurignac, J. M. S. (1865). History of the Society of Jesus From Its Foundations to the Present Time (Volume II). John P. Walsh. ku. 12–13.
  3. "Who is St. Andrew Bobola? - St. Andrew Bobola Parish, Dudley, MA". www.standrewbobola.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-01-04. Iliwekwa mnamo 2018-08-21. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.