Andrea wa Firenze

Andrea wa Firenze (alifariki Firenze, Italia, karne ya 9) alikuwa askofu wa mji huo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Februari[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.