Andrew Robertson
Andrew Robertson (alizaliwa 11 Machi 1994) ni mchezaji wa soka wa Scotland ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa klabu ya Liverpool F.C. na timu ya taifa ya Scotland.
Andrew Robertson
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufalme wa Muungano |
Nchi anayoitumikia | Uskoti |
Jina katika lugha mama | Andrew Robertson |
Jina la kuzaliwa | Andrew Henry Robertson |
Jina halisi | Andrew |
Jina la familia | Robertson |
Tarehe ya kuzaliwa | 11 Machi 1994 |
Mahali alipozaliwa | Glasgow |
Lugha ya asili | Kiingereza |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | fullback |
Alisoma | St Ninian's High School |
Muda wa kazi | 2012 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 26, 3, 26, 3 |
Ligi | Ligi Kuu Uingereza |
Maisha
haririRobertson alianza kazi yake na Queen Park FC huko Scotland mwaka 2012 kabla ya kujiunga na Dundee United mwaka ujao. Alijiunga na Hull City mwezi Julai 2014 kwa ada ya £ milioni 2.85, baadae alijiunga na Liverpool mwezi Julai 2017 kwa ada ya £ milioni 8.
Aliisaidia timu yake kufika mpaka fainali ya ligi kuu ya mabingwa wa Ulaya mwaka 2018-19.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andrew Robertson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |