Anja Marais

Mchongaji na msanii wa gani mbalimbali kutoka Afrika kusini

Anja Marais (alizaliwa 1974) ni mchongaji wa nchini Afrika Kusini na msanii wa taaluma nyingi. Aliishi nchini Japani, Korea, Urusi na Florida na kukamilisha maonyesho ya peke yake na ya kikundi huko Asia, Ulaya na Marekani.

Wasifu hariri

Anja Marais alizaliwa mwaka 1974 Sabie, Mpumalanga, Afrika Kusini. Alisoma katika Chuo Kikuu cha Pretoria ambapo alisomea sanaa ya maono na kuhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Kusini huko Pretoria mnamo 1998. [1] Baada ya kuhitimu, alihamia Florida ambapo alikua mpokeaji wa Ruzuku ya wasanii binafsi wa Florida na alichaguliwa kama mshiriki wa warsha ya Creative Capitol Professional na Idara ya Florida ya Masuala ya Utamaduni. Kazi yake imeonekana katika Sanaa ya Amerika, Artnews na Jarida la Kimataifa la Florida . [2]

Marejeo hariri

  1. "Anja Marais". Art News. University of the Arts. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 31 July 2015. Iliwekwa mnamo 31 July 2015.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Anja Marais". Creative Caribbean Network. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 August 2015. Iliwekwa mnamo 31 July 2015.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anja Marais kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.