Anke Pietrangeli
Mwanamuziki wa Afrika kusini
Anke Pietrangeli (alizaliwa 16 Novemba 1982) ni mwimbaji wa nchini Afrika Kusini. Alikuwa mshindi wa msimu wa pili wa mfululizo maarufu wa utafutaji vipaji wa Idols nchini Afrika Kusini mwaka 2003. [1]
Anke Pietrangeli | |
Amezaliwa | 16 novemba 1982 Afrika kusini |
---|---|
Nchi | Afrika kusini |
Majina mengine | The kimberley Diamond |
Kazi yake | mwimbamziki |
Anke pia alikuwa na jina la utani la The Kimberley Diamond. Pietrangeli alishawishika kuingia na kaka yake, Sven, ambaye siku zote alikuwa na hakika kwamba dada yake atakuwa nyota. [1]
Orodha ya kazi za kimuziki
haririAlbamu
- Idols
- By Heart (Machi 2004)
- Limbo (Julai, 2006)
- Tribute to the Great Female Vocalists (Novemba 2008) [2]
Rekodi moja moja
- Silver Lining
- By Heart
- We're Unbreakable
- My Radio
- Stay If You Will
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 Bekker, Niel. "Anke - Tribute to the Great Female Vocalists". Channel (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-12-16.
- ↑ http://www.channel24.co.za/Music/AlbumReviews/Anke-Tribute-to-the-Great-Female-Vocalists-20090119 Retrieved 10 January 2014
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anke Pietrangeli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |