Ann Wenche Kleven

Mwamuzi wa mpira wa miguu wa Norwei

Ann Wenche Kleven (alizaliwa 7 Mei, 1968) alikua mwamuzi wa mpira wa miguu wa Norwei.

Alianza kazi ya uamuzi mnamo mwaka 1983 na alikuwa mwamuzi wa FIFA tangu mwaka 1995 hadi 2008.

Alikuwa mmoja wa waamuzi wa wa Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 1999. Katika soka la wanaume, alikuwa mwamuzi msaidizi katika michezo 50 ya ligi ya Eliteserien Norwei. [1]

Marejeo hariri

  1. "Ann Wenche Kleven" (kwa Norwegian). Norsk Fotballdommerforening. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-07-10. Iliwekwa mnamo 2019-08-27. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ann Wenche Kleven kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.